Economist yet again rip apart Magufuli & describe his leadership a FAILURE

China couldn't do that as a poor economy like Tz., but now China and countries like Russia can call the shots., nyie mna nini haswa? isipokua propaganda na inflated GDP growth which hardly reflects in real life! Hivi ata Rwanda inaweza wakosesha usingizi. See your life now!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni Mkikuyu Akili Punguani a sadist, and Magufuli diehard., his arguments are always subjective, can't accept to see Kenya on top of poor Tanzania, nchi isio na mwelekeo., lao ni waipiku Kenya., raiya 80% plus hawajiwezi kikamilifu., ni mlo tu wanayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unfortunately people don't eat infrastructure... Even apartheid regime in South Africa constructed many infrastructures... Even colonial Germany and British constructed infrastructures...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
White people ...wanatu feed sana ujinga sisi wa africa ..Libya was doing very well with ghadafi...ila kilichotokea ni Us walimuondoa hapo kwa makusudi coz ya lack of democracy ..ona libya ilipo sasa hiv....sometimes viongozi wetu wana intention nzur..hawa wazungu sio watu wa kuwapaparikia ..sijui kila wanachokwambia unakubali ...ndo badae tunashangaa tunaona madudu ...mikataba mibovu..madeni chungu nzima..sometimes wa africa tujiamin na tufanye vitu wenyewe tunaweza ...Democracy ni kitu kizur..yes na hapo mzee baba kweli anakosea..ila kwenye swala la mambo kama acacia etc anafanya vzur sana..mnafikiri whites wana intention nzur na sisi...hapana wote hao wanataka wafuje mali zetu tu..na kutupa misaada finyu

Jiulizeni kwann Mkataba wa LNG kuchimba gas haijasainiwa hadi sa hiz ..
Mikataba ya ku mine iron etc
Whites wanavuta vitu upande wao tusipokuwa makin hyo LNG haitatunufaisha



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mkataba wa GESI bado haujasainiwa ?
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Unfortunately people don't eat infrastructure... Even apartheid regime in South Africa constructed many infrastructures... Even colonial Germany and British constructed infrastructures...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umekosa chakula na Tz ni nchi kubwa yenye rutba kafie mbele na uzembe wako..Sio kazi ya serikali kukupa chakula, serikali inakupatia kile ambacho hauwezi jinjengea mwenyewe kama Reli na barabara
 

How a so called capitalist country cap the interest rate.
No wonder GoK uses a fixed exchange rate policy.
 
Kama umekosa chakula na Tz ni nchi kubwa yenye rutba kafie mbele na uzembe wako..Sio kazi ya serikali kukupa chakula, serikali inakupatia kile ambacho hauwezi jinjengea mwenyewe kama Reli na barabara
Rubbish, mkibanwa hoja mnageuka vioja... Kufa ni mipango ya Mungu, wapendwa wetu akina Ruge, Kibonde and others waliotangulia mbele ya haki walikosa chakula? Secondly unaweza kukuta wewe ni miongoni mwa wenye maisha ya kubangaiza but no one is going to judge you coz watanzania wanaosota kimaisha, hasa vijijini ni wengi sana wakati nyinyi mnashangilia Bombardier na fly over... Siku ukiukumbuka ubongo wako na kwenda kuuchukua kwa uliyempa akushikie and start thinking rationally you will understand what am talking about, in the mean time pole Sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unatambua GDP ya jiji la Lagos ni kubwa kuliko ya Kenya? Nchi za Afrika ya Mashariki bado sana kiuchumi Hamna cha Kenya, Tanzania wala Uganda. Kitu kingine mnasahau kuangalia uchumi wa mtu mmoja mmoja ni rahisi kwa Mtanzania wa hali ya chini kununua ardhi na kutengeneza mtaji kuliko Mkenya.
 

Kabla ya bombardia kuja maisha ya waTanzania yalikuwa hivi hivi.
Mimi naona bora ya hii awamu ambayo MAMBO makubwa mengi yanafanyika. Madogo yatatekelezwa.
 
Mzee mzima na una ndevu zako unalalamika eti hauna chakula? Enda beach ukauze mkundu basi..Mzee bure alikufa, kama ulimetegemea pole sana
 
Reactions: Oii
Kumbe mkataba wa GESI bado haujasainiwa ?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Gesi inayotumika ni ile ya mbamba bay na songas tu ..na hyo iko kidogo sana na ndo inayowasha mitambo ya ubungo 1 ,2 na kinyerezi 1 na 2 ..ndo maana Wanasema bomba la gas bado halijatumika kwa uwezo wake wote linatumika kwa 30% ...kama tutasign mkataba wa LNG ...wa kuchimba gas ya offshore ...then bomba liatumika vzur zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan nigeria mzee hakuna kitu ..hiv unajua na GD yote hyo ya Nigeria wanatengeza Umeme kidogo sana
On a good day nigeria huzalisha 5000mw za umeme ..wakati tanzania inakarbia 2000 ..sasa nigeria GDP yao inawasaidia nn
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok that why nchi za Scandinavia zilidai tz now ni kiburi kwa sababu wamegundua gesi ila kwenye mikataba huwa nakuwa na imani na jiwe yupo vizuri kwenye win to win

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…