Economists gather here

Economists gather here

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
861
Reaction score
1,547
Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee

Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi

Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani

Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia

Karibuni sana
It's me Foffana
 
Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.

Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
 
Mkuu majibu nasubilia tafadhari
 
Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.

Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Ahsante
Swali namba moja
Kwanza kabisa tunajua kwamba
GDP ni kipimo cha jumla cha bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi husika kwa kipindi cha muda fulani mara nyingi ni mwaka mmoja

Kwahiyo basi kukua kwa GDP sio kipimo sahihi cha ubora wa maisha ya wananchi kwa sababu zifuatazo

Kukua kwa GDP kunaweza kuwa ni kwa sababu ya mfumuko wa bei(inflation) na tunaelewa kwamba kukiwa na inflation Gharama za maisha zinakuwa juu sana so hali ya mwananchi mmoja mmoja inazorota

Inawezekana GDP inaongezeka na Gawio la pato la Taifa (per capital income) likawa kubwa tu kwa mwananchi mmoja mmoja lakini kiuhalisia inawezekana watu wachache tu ndo wakawa wanafaidika na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa

Ukosefu wa ajira(unemployment) inawezekana GDP ikawa inaongezeka kila mwaka kwa kiasi fulani kutokana uongezekaji wa investment katika sector fulani lakini kwa wananchi kukawa na rate kubwa ya unemployment hapo lazima hali ya kiuchumi kwa wananchi itazorota

Nadhani nitakuwa nimejibu swali lako
I stand to be corrected
Bado najifunza
 
Ahsante mkuu ila bado umeniacha njia panda, GDP gross domestic production si ndiyo, kupanda kwake manaake usalishaji(production) umeongezeka, na unaenda sambamba na uzaljshaji wa ajira za watu, sasa inakuaje sasa kwa mjibu wa maelezo yako tukawa na unemployment problem tena?

Sababu moja ya inflation ni ukosefu wa domestic production and high imports vs low exports, high GDP inaleta high production kwa hapo mkuu inflation inakua je tena madhara ya GDP?

Tafadhari naomba ufafanue zaid.
 
Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee

Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi

Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani

Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia

Karibuni sana
It's me Foffana
Nikajua umeweka mada ya kufanya tukutane Kwa Uchambuzi wa kina ,kumbe ni Mipasho as usual 😆😆

Anyway ,kama Uchumi wa Tanzania 2023 umeongezeka kutoka $69(2021) Hadi $ 80bln (2023) ni wazi kama zile Trilioni 24 zilizomwagwa kwenye sgr, na ndege tuu zingetumika kwenye Barabara,Umeme,Maji,Maboresho ya reli na Kilimo tungekuwa Tunazungumzia Tanzania yenye Uchumi wa $ 110bln (2025).

Ukifeli kupanga umefeli mazima.
 
Mimi ntazungumzia kuhusu haya mamabo

Net salary
Gross salary

Ntaelezea kuhusu unachoingiza kwa mwezi ambacho huitwa gross salary na mshahara unaolipwa net salary.

Net salary ni ule mshahara unaoingizwa kila mwezi

Ila gross salary ni kile kias ambacho mtu hubaki nacho baada ya kutoa matumizi yake ya mwezi mzima.

Hivyo ili uweze kufanya calculation ya kuhusu kipato chako fanya kwa kuanza na Kutoa matumizi yako ya mwezi mzima then kiasi kinachobaki ndo faida yako

Sasa hiyo faida yako ndo unbidi kuwaza kuiwekeza , kujenga ,kufanya baishara ,emergency n.k

Unaweza kuwa unalipwa mil moja Ila faida yako ikawa laki Moja

Na unaweza ukawa unalipwa laki Saba Ila ukawa na faida ya laki tano.

Hii itakusaidia kukuondoa katika situation ya paycheck to paycheck

Net profit
Net salary
Gross profit
 
Nimesikiliza Interview moja ya John Heche
Aliulizwa serikali inaweza vipi kupunguza tatizo la unemployment
Kiufupi alijibu kuwa serikali inatakiwa itumie "trickle down effect" unaweza kuielezea hii mkuu ikoje? na inahusiana vipi kwenye suala la kupunguza unemployment problem unadhani
 
Ahsante sana Dr kwa hili somo zurii ndo nimegundua leo kumbe unaweza ukawa unalipwa hata Milioni 5 na ukawa na faida ya laki mbili tu kwa mwezi
 
Nimesikiliza Interview moja ya John Heche
Aliulizwa serikali inaweza vipi kupunguza tatizo la unemployment
Kiufupi alijibu kuwa serikali inatakiwa itumie "trickle down effect" unaweza kuielezea hii mkuu ikoje? na inahusiana vipi kwenye suala la kupunguza unemployment problem unadhani
Sera za Uchumi ambazo zinaanzia chini kwenda Juu yaani kuwekeza Nguvu kwenye sekta ambazo Zina watu wengi badala ya kujikita kwenye Madini,Utalii na Biashara za sura hizoo ,Huwa haziondoi umaskini Kwa watu wengi hata kama mtakuwa na flaiova Kila Kijiji.
 
Shukrani sana mtaalamu
 
Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.

Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Sio kweli kwamba Hali ya kimaisha na Uchumi wa mtu mmja mmja unazorota kama unavyosema Bali Kasi ya kuondoa umaskini ni ndogo sana ,haiendanai na Ukuaji wa uchumi.

Sababu ni Moja tuu,sekta ya kilimo.kwa upana wake ambayo imeajiri 80% ya watu haijapewa msukumo wa kutosha na inakua Kwa wastani mdogo wa 3%.

Labda tutarajie investments inayofanywa Sasa na Serikali ya Samia utakuja kubadili Hali ya mambo kuanzia 2026 huko ilianza Kuzalisha.
 
Pia ntazungumzia kuhusu mtiririko wa kutafuta financial freedom
(Uhuru wa pesa )

Unapopata pesa lazima uanze kuelewa huu mtiririko wa financial freedom

Money -Assets-financial freedom

Ukipata pesa unawekeza katika mambo yanayoingiza hela ambayo huitwa Asstes na Assets ikianza kutoa pesa itakuleta katika financial freedom .
 
Nini maana ya Uhuru wa pesa?(financial freedom)
 
Tuzunggumzie madeni

Madeni yapo ya aina mbili

1)bad debts
2)good debts

Nb kwanza tukubaliane kuwa kukopa sio jambo baya ila jambo nikutojua matumizi sahihi ya kile unachokopa

Mimi ntatoa ushauri kubusu madeni

Kukopa pesa au kitaalamu huitwa OPM -other people money

Kutumia hela za watu

Je njia gani nzuri za kukopa na unbidi ukope kwa lengo gani haya ndo mambo
 
Nini maana ya Uhuru wa pesa?(financial freedom)

Uhuru wa pesa huitwa financial freedom au financial stability

Ni kuwa na uwezo wa kuhimili mahitaji yako yote kwa usahihi

Mfano

Kulipa pango (rent)
Kulipa bills zako zote
Kuhudumia familia yako
Matibabu
Kuwa na bima kubwa.

Haya yote unayafanya bila kumkopa MTU au kusubiri mshahara mwisho wa mwezi
 
Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee

Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi

Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani

Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia

Karibuni sana
It's me Foffana
Mimi ni mchumi wa CCM, sijui kama nakaribiswa
 
Hivi Tz ikiamua kutengeneza wekundu wa msimbazi kimya kimya tena kwa wingi na kuzibadilisha kuwa dala chap chap haiwezikani? Kama Amini alivyofanya enzi yake! Au kwa lugha nyingine nataka elimu kuhusu mzunguko wa pesa duniani. Mf. Kama Kilimanjaro wakiamua kujitenga na kuwa na nchi yao, pesa yake itapatikanaje?
 
Uzalishaji (production) ndo huwa inaleta mzunguko wa hela kuwa mdogo au mkubwa.

Hivyo ukichapisha hela ukawapa watu maana yake bidhaa zitanunuliwa Sana na uzalishaji utakuwa mdogo

Maana yake utakuwa na hela Ila hauna uwezo wa kupata HUDUMA za msingi .

Ili hela iwe katika mzunguko lazima tuongeze uzalishaji na tuweze Ku-export bidhaa Nje .

Tofauti na hapo utaua uchumi.
 
Back
Top Bottom