Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee
Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi
Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani
Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia
Karibuni sana
It's me Foffana
Mkuu majibu nasubilia tafadhariHabari zenu Wakuu

AhsanteAhsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.
Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Ahsante mkuu ila bado umeniacha njia panda, GDP gross domestic production si ndiyo, kupanda kwake manaake usalishaji(production) umeongezeka, na unaenda sambamba na uzaljshaji wa ajira za watu, sasa inakuaje sasa kwa mjibu wa maelezo yako tukawa na unemployment problem tena?Ahsante
Swali namba moja
Kwanza kabisa tunajua kwamba
GDP ni kipimo cha jumla cha bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi husika kwa kipindi cha muda fulani mara nyingi ni mwaka mmoja
Kwahiyo basi kukua kwa GDP sio kipimo sahihi cha ubora wa maisha ya wananchi kwa sababu zifuatazo
Kukua kwa GDP kunaweza kuwa ni kwa sababu ya mfumuko wa bei(inflation) na tunaelewa kwamba kukiwa na inflation Gharama za maisha zinakuwa juu sana so hali ya mwananchi mmoja mmoja inazorota
Inawezekana GDP inaongezeka na Gawio la pato la Taifa (per capital income) likawa kubwa tu kwa mwananchi mmoja mmoja lakini kiuhalisia inawezekana watu wachache tu ndo wakawa wanafaidika na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa
Ukosefu wa ajira(unemployment) inawezekana GDP ikawa inaongezeka kila mwaka kwa kiasi fulani kutokana uongezekaji wa investment katika sector fulani lakini kwa wananchi kukawa na rate kubwa ya unemployment hapo lazima hali ya kiuchumi kwa wananchi itazorota
Nadhani nitakuwa nimejibu swali lako
I stand to be corrected
Bado najifunza
Nikajua umeweka mada ya kufanya tukutane Kwa Uchambuzi wa kina ,kumbe ni Mipasho as usual 😆😆Habari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee
Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi
Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani
Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia
Karibuni sana
It's me Foffana
Nimesikiliza Interview moja ya John HecheNikajua umeweka mada ya kufanya tukutane Kwa Uchambuzi wa kina ,kumbe ni Mipasho as usual 😆😆
Anyway ,kama Uchumi wa Tanzania 2023 umeongezeka kutoka $69(2021) Hadi $ 80bln (2023) ni wazi kama zile Trilioni 24 zilizomwagwa kwenye sgr, na ndege tuu zingetumika kwenye Barabara,Umeme,Maji,Maboresho ya reli na Kilimo tungekuwa Tunazungumzia Tanzania yenye Uchumi wa $ 110bln (2025).
Ukifeli kupanga umefeli mazima.
Ahsante sana Dr kwa hili somo zurii ndo nimegundua leo kumbe unaweza ukawa unalipwa hata Milioni 5 na ukawa na faida ya laki mbili tu kwa mweziMimi ntazungumzia kuhusu haya mamabo
Net salary
Gross salary
Ntaelezea kuhusu unachoingiza kwa mwezi ambacho huitwa gross salary na mshahara unaolipwa net salary.
Net salary ni ule mshahara unaoingizwa kila mwezi
Ila gross salary ni kile kias ambacho mtu hubaki nacho baada ya kutoa matumizi yake ya mwezi mzima.
Hivyo ili uweze kufanya calculation ya kuhusu kipato chako fanya kwa kuanza na Kutoa matumizi yako ya mwezi mzima then kiasi kinachobaki ndo faida yako
Sasa hiyo faida yako ndo unbidi kuwaza kuiwekeza , kujenga ,kufanya baishara ,emergency n.k
Unaweza kuwa unalipwa mil moja Ila faida yako ikawa laki Moja
Na unaweza ukawa unalipwa laki Saba Ila ukawa na faida ya laki tano.
Hii itakusaidia kukuondoa katika situation ya paycheck to paycheck
Net profit
Net salary
Gross profit
Sera za Uchumi ambazo zinaanzia chini kwenda Juu yaani kuwekeza Nguvu kwenye sekta ambazo Zina watu wengi badala ya kujikita kwenye Madini,Utalii na Biashara za sura hizoo ,Huwa haziondoi umaskini Kwa watu wengi hata kama mtakuwa na flaiova Kila Kijiji.Nimesikiliza Interview moja ya John Heche
Aliulizwa serikali inaweza vipi kupunguza tatizo la unemployment
Kiufupi alijibu kuwa serikali inatakiwa itumie "trickle down effect" unaweza kuielezea hii mkuu ikoje? na inahusiana vipi kwenye suala la kupunguza unemployment problem unadhani
Shukrani sana mtaalamuSera za Uchumi ambazo zinaanzia chini kwenda Juu yaani kuwekeza Nguvu kwenye sekta ambazo Zina watu wengi badala ya kujikita kwenye Madini,Utalii na Biashara za sura hizoo ,Huwa haziondoi umaskini Kwa watu wengi hata kama mtakuwa na flaiova Kila Kijiji.
Sio kweli kwamba Hali ya kimaisha na Uchumi wa mtu mmja mmja unazorota kama unavyosema Bali Kasi ya kuondoa umaskini ni ndogo sana ,haiendanai na Ukuaji wa uchumi.Ahsante kwa nini index za GDP ya Tanzania inapa kila mwaka lakini hali ya uchumi wa wanachi unaendelea kozorota kila mwaka.
Suali la pili kwanini shilling ya Tanzania inaendelea kushuka thamani wakati uchumi wetu unaendelea vizuri?
Nini maana ya Uhuru wa pesa?(financial freedom)Pia ntazungumzia kuhusu mtiririko wa kutafuta financial freedom
(Uhuru wa pesa )
Unapopata pesa lazima uanze kuelewa huu mtiririko wa financial freedom
Money -Assets-financial freedom
Ukipata pesa unawekeza katika mambo yanayoingiza hela ambayo huitwa Asstes na Assets ikianza kutoa pesa itakuleta katika financial freedom .
Nini maana ya Uhuru wa pesa?(financial freedom)
Mimi ni mchumi wa CCM, sijui kama nakaribiswaHabari zenu Wakuu
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee
Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi waweze kupatiwa ufumbuzi
Pia uzi huu unaweza kutumika kama Connection endapo kutatokea michongo ya wachumi kuhitajika sehemu fulani
Kwahiyo basi niwakaribishe wachumi wote either kwa maswali au kama kuna elimu yoyote ya kiuchumi unataka kuiwasilisha katika jamii yako ni vyema pia
Karibuni sana
It's me Foffana
Hivi Tz ikiamua kutengeneza wekundu wa msimbazi kimya kimya tena kwa wingi na kuzibadilisha kuwa dala chap chap haiwezikani? Kama Amini alivyofanya enzi yake! Au kwa lugha nyingine nataka elimu kuhusu mzunguko wa pesa duniani. Mf. Kama Kilimanjaro wakiamua kujitenga na kuwa na nchi yao, pesa yake itapatikanaje?