TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,169 Apr 1, 2010 #2 cheusimangala said: Click to expand... Lol!!!!!!!!! makubaliana na hili kabisaaaaaaaaa....ebwana eee, sisi tunabipu kila kitu, kufanya kazi, uaminifu, hata kula lazima ubipu!
cheusimangala said: Click to expand... Lol!!!!!!!!! makubaliana na hili kabisaaaaaaaaa....ebwana eee, sisi tunabipu kila kitu, kufanya kazi, uaminifu, hata kula lazima ubipu!
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Apr 1, 2010 #3 JUZI mukubwa ya Ikulu aliwabip wachina wakamwaga mayeboyebo kibao ikulu, eti msaada wa mafuriko.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 635 Apr 1, 2010 #4 pakajimmy said: juzi mukubwa ya ikulu aliwabip wachina wakamwaga mayeboyebo kibao ikulu, eti msaada wa mafuriko. Click to expand... akipiga itakuwaje???
pakajimmy said: juzi mukubwa ya ikulu aliwabip wachina wakamwaga mayeboyebo kibao ikulu, eti msaada wa mafuriko. Click to expand... akipiga itakuwaje???
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Apr 1, 2010 #5 hahahaha ni kweli bwana maisha yetu magumu sana hali hii itaisha lini?