ibraahkevy
Member
- May 4, 2020
- 15
- 11
Naomba kujua ECU/ECM zinaweza kuwa reprogrammed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua ECU/ECM zinaweza kuwa reprogrammed
Asante mkuu pia ningeomba kuuliza hivi fuel pump ikistop kufunction inaweza chukua mda gan gari kuzimaYes
Zinaweza kuwa reprogrammed kama zilivyo computer board zingine....
Unaweza kuammend vitu au kucancel vitu na mengine mengi...
Only ukiwa na Proper tools za kufanyia programming.
Asante mkuu pia ningeomba kuuliza hivi fuel pump ikistop kufunction inaweza chukua mda gan gari kuzima
AsanteHazizidi sekunde 5
Asante mkuu pia ningeomba kuuliza hivi fuel pump ikistop kufunction inaweza chukua mda gan gari kuzima
Naomba kujua ECU/ECM zinaweza kuwa reprogrammed
Mkuu pump sielewi nataka nigeuze, tuombeane dua.Hazizidi sekunde 5
Poa poa mkuuMkuu pump sielewi nataka nigeuze, tuombeane dua.
Siyo shida ila kuna modification nataka nifanye kuna parameter inatakiwa iwe added kwny ecuinaonekana una shida na gari yako. Karibu tukupe mawazo
Siyo shida ila kuna modification nataka nifanye kuna parameter inatakiwa iwe added kwny ecu