Ed Sheeran kacopy wimbo, adaiwa Bilioni 225

Amekopi melody ujuzi bila ruhusa anataiiwa alipe. People have thought out loud about that and now they are in love with the shape of his bank account
 
Amekopi melody ujuzi bila ruhusa anataiiwa alipe. People have thought out loud about that and now they are in love with the shape of his bank account


Hahaha. Kuna watu wanaitwa Lagitators, hawa ni wanasheria wazuri sana, kazi yao kubwa ni kuangalia tu matajiri au makampuni wamejikanyaga wapi. Basi wao wananunua kesi.
 
Hii familia ya Marvin Gaye kila mwaka lazima wale sahani moja na msanii mwaka Juzi ilikuwa Robin Thickle halafu wa nangojeea wimbo ukishahit na kuuza nakala za kutosha ndo wanakuja japo sijaona ufanano hapo
 
Waje wam sue na one the incredible amesample kwenye nyimbo yake inaitwa Miss beautiful
 
Hii familia ya mavin gaye iache njaa.. walishawahi fungua madai dhidi ya farell williams kutokana na wimbo wa happy sijui yaliishia wapi..naona wamekuja na jipya..!
Sifa kuu tatu za mtu mweusi/Muafrika:
1. Wivu
2. Kiburi/Dharau
3. Ujuaji uliopitiliza

Eti familia ya Marvin Gaye ina njaa..!!!
Seriously..!?

Ahahaaaah..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…