Ed Woodward amejiuzulu wadhifa wake kama Mwenyekiti wa Klabu ya Manchester United.
Kujiuzulu kwake kunakuja baada ya wadau waandamizi wa klabu hiyo kuitikia wito kuwa klabu hiyo imewadharau mashabiki kwa kujiunga na Super League.
Vyanzo vya habari Manchester vinaripoti kuwa Manchester United imejiunga na Chelsea pamoja na Manchester city kuandaa nyaraka za kutaka kujiondoa kwenye Ligi hiyo mpya.
Hatari kweli bora wote waachane tu na mpango huu maana kadri timu mnavyokua wachache ndivyo ugumu na majuto yanavyozidi waelemea,naisikitikia barca yangu