Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Mkuu hebu cheki tena taarifa zako. Hammie Rajab amefariki lini? Huyu nadhani bado yupo ila siku hizi anashiriki zaidi kwenye utengenezaji wa filamu na sio uandishi wa Vitabu. Kama sikosei.
Hajakosea mkuu.........
Hammie Rajab amefariki wiki iliyopita tarehe 21/04/2011 katika hospitali ya Amana Ilala ambako alilazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Malaria.....Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi,Amina

Uandishi siku hizi umerahisishwa kwa sababu ya mitandao. Vile vile unaweza kuchapisha vitabu vyako na kuwa e books. Kwa mfano ninanunua vitabu vingi tu Amazon na kuvisoma kupitia Kindle. Unawza kuwasiliana na Amazon na watakuambia ni vipi unaweza kuchapisha vitabu vyako. Nimeshaona vitabu kadhaa vya kiswahili huko.Uandishi haulipi niliwahi kujidanganya after being inspired nikaandika HEKAHEKA ,kashifa .hadithi zikatoka msanii miaka ya tisini malipo yakawa kidogo na sikupata mtu wa kunisponser nikaghairi.baadae nikaona nitest novel.nikaandika HÖTSOUP in the beginning.ni cha kijasusi kinahusu gulfwarone irag .nilikua bush skupata spönser miaka hyo ya tisini na tano.
Mwisho nkaandika HOTSOUP the aftermath hicho miaka 2005 after gulfwar two nikaishia chapter six nikawa nimepata ajira nikabullshit.
Kwa hapa bongo fani hailipi labda upublish na kuuzia majuu
Mkuu kama utajali naomba unitumie nakala za hivyo vitabu vyako kaka.sio vitabu.niliandika manuscript nikapeleka msanii magazeti zikawa zinatoka gazetini every wknd.
Ila copy zake nilihifadhi .na sio kwamba kipaji kilipotea bado nnacho sema mda wa kukaa kuandika ukichukulia hailipi mtu unaamua kuacha
Mkuu kama una mtu unamfahamu uko Mombasa au Nairobi unaweza kumuagizia.mkuu mimi nimevisoma mzimu wa watu wa kale na duniani kuna watu bado ni navyo nimevihifadhi...ningependa kupata hivyo vingine vya bwa msa, ni wapi vinauzwa?
Mkuu kweli wewe wa enzi zetu, hapo nimekumbuka mbali sana, yaani ukisoma hivyo vitabu, ni kama unaangalia senema (si sinema) vile....Mkuu, wewe ndio hasa umetaja vitabu hasa vya riwaya za kusisimua za kiafrika hasa. Vingi vilivyotajwa na wachangiaji hapa vilikuwa ni cut-paste za visa vya James Hadley Chase, Nick Carter na kadhalika. Ni riwaya ambazo zilikuwa hazina uhalisia wa maisha ya kiafrika kama zilivyo nyingi ya sinema za kitanzania za leo zinazoonyesha maisha tofauti kabisa na hali halisi!
Katika orodha uliyoandika unaweza pia kuongeza Dunia Uwanja wa Fujo, Kuli, Nyota ya Rehema, Rosa Mistika, Simu ya Kifo na kadhalika. Hizi vitabu vingi vya hadithi za kusisimua vya watunzi kama Ben Mtobwa, kajubi Mukajanga, Evis Musiba et al vilianza hasa miaka ya mwishoni ya sabini.
kabla ya hapo tulikuwa tunasoma vitabu vya riwaya vilivokwenda shule kama Mzimu wa Watu wa Kale, Roza Mistika, Simu ya Kifo, Pili Pilipili, Gamba la Nyoka, Dunia Uwanja wa Fujo, Roza Mistika, Tumgidie bwe.ge na kadhalika!
...Mkuu, wewe ndio hasa umetaja vitabu hasa vya riwaya za kusisimua za kiafrika hasa. Vingi vilivyotajwa na wachangiaji hapa vilikuwa ni cut-paste za visa vya James Hadley Chase, Nick Carter na kadhalika. Ni riwaya ambazo zilikuwa hazina uhalisia wa maisha ya kiafrika kama zilivyo nyingi ya sinema za kitanzania za leo zinazoonyesha maisha tofauti kabisa na hali halisi!
Katika orodha uliyoandika unaweza pia kuongeza Dunia Uwanja wa Fujo, Kuli, Nyota ya Rehema, Rosa Mistika, Simu ya Kifo na kadhalika. Hizi vitabu vingi vya hadithi za kusisimua vya watunzi kama Ben Mtobwa, kajubi Mukajanga, Evis Musiba et al vilianza hasa miaka ya mwishoni ya sabini.
kabla ya hapo tulikuwa tunasoma vitabu vya riwaya vilivokwenda shule kama Mzimu wa Watu wa Kale, Roza Mistika, Simu ya Kifo, Pili Pilipili, Gamba la Nyoka, Dunia Uwanja wa Fujo, Roza Mistika, Tumgidie ***** na kadhalika!

mkuu hivi vitabu kwa sasa vinaweza kuwa vinapatikana madukani???nina shida navyo sana ningependa kuwa na nakala zangu,niliwahi kuvitafuta mtaa wa samora kwenye maduka ya vitabu sikuvipata,kwa anayejua vinapopatikana naomba msaada plz...
Huo ni ukweli, vitabu ivi vilivutia sana. Chukulia njama, kikosi cha kisasi, hofu vy Msiba, tutarudi na roho zetu, mikononi mwa nunda vya Ben mtobwa. Kwa kweli nilikuwa nikianza kukisoma silali kabisa. enzi hizo makwetu na vibatari macho hayakuchoka kabisa.
kuhusu eddy ganzel habari za mwisho mwaka jana kulikuwa na romous kama amefariki ila sina ihakika sana.
Ukweli vitabu hivi labda uvikute tu kwa bahati kwa wale wauza vitabu vikuu kuu wanaopanga bidhaa zao barabarani. Ni kama vimetoweka kabisa. mimi mwenyewe kwa mfano nimejaribu kwa muda mrefu sana bila mafanikio kupata vitabu vya Roza Mistika, Mashimo ya Mfalme Suleiman, Titi la Mkwe, Kisiwa chenye Hazina (Treasure Island) na Jamaa hodari Kisiwani (Swiss Family Robinson), Aliyepanda tufani na kadhalika. Kwa hakika, ningependa sana hawa dotcom wangu wasome 'Almasi' kama hizi...
Shigongo anaiga sana. Kwa mfano matukio mengi kwenye kitabu chake cha RAIS ANAMPENDA MKE WANGU yanafanana na matukio ya kwenye THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT cha Sidney Sheldon...tafuta vitabu hivyo viwili uvisome kisha unambieJibu lako lipo hapo kwenye nyekundu
Ni Shaaban Robert (RIP)mkuu, Gwiji la utunzi wa vitabu Tanzania.kuna kitabu kinaitwa "utu bora mkulima" jamani hivi mtunzi wa kitabu hicho ni nani?
Umejitahidi we kuwa makini, lakini bado umechapia. Kipi kikusikitishacho sio chasho.- Kipi Kikusikitichasho
-Tumgidie *****.