Eddo kumwembe: Goli la Singida fountain Gate ni goli halali kabisa sema mwamuzi kawanyima goli

Eddo kumwembe: Goli la Singida fountain Gate ni goli halali kabisa sema mwamuzi kawanyima goli

Hukuangalia wewe mpaka usubiri edo aseme? Mlikandwa na Ihefu bado akili hazijakaa sawa. [emoji706][emoji706]
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Marefa wamempandisha Tembo juu ya mti, sasa kazi iliyobaki ni kuzuia asishuke je! Watafanikiwa, Ngoja tuone.
 
IMG_8024.jpeg
 
Wenye akili tayari tumeshajua Nini kinachoendelea kwa Hawa marefa.

Endeleeni kukaza mafuvu shubamiti.

Edo alisomea wapi urefalii?
Mpira tu nna mashaka kama alishawahi kucheza sembuse huo uamuzi.

Kuna uwanja wa shule karibu na kanisa nishawahi kumwona akigusa, nikajua hata danadana 2 hawezi.
 
Edo alisomea wapi urefalii?
Mpira tu nna mashaka kama alishawahi kucheza sembuse huo uamuzi.

Kuna uwanja wa shule karibu na kanisa nishawahi kumwona akigusa, nikajua hata danadana 2 hawezi.
Achana na Edo yeye anasimamia ukweli.
Kama Mangungu alishawahi kusema Tff ina wanyanyasa na wanaweza hamia Ligi ya Zanzibar, ivi kiongozi wa mpira asiyejua ata izi ni ligi mbili ni tofauti na hoja yake ni ya kipuuzi aliwezaje kuwa mwenyekiti wa simba?
Mwisho wake ana mleta Manzoki kwenye mkutano wa wanachama wote na kuwarubuni anamsajili dirisha dogo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom