Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Duh!Hawa kola wanaumwa mavi.. niamini mimi
Sikuwa na wazo la kucheka hata mara moja.Hawa kola wanaumwa mavi.. niamini mimi
Me nakubaliana nao labda msiokubali mjaribu kumfuatilia vizuri Eddy ndio mtangundua kituDespite once being Africa's number 6 and East Africa's number one singer, Jose Chameleone has been beaten by Eddy Kenzo who was recently ranked as number 5 among the top African Artistes of week 1in 2017 by Kora Awards.
On the list, Jose Chameleone sits on number 14 while Tanzania's top singer Diamond Platnumz come through in 7th position.
Check out the complete list of the top 20.
Hahahaha unatafuta ugomvi wew najuwa nini unataka kuongeaKwahiyo Tanzania Tuna mwanamziki mmoja tu!
LOL..!
Kweli kuna watu inatakiwa wakaze kamba.
Hahahaahha wale jama wenye matusi utawajuwa tu ,kiba salome team.Sikuwa na wazo la kucheka hata mara moja.
Wewe umetumia vigezo gani?Diamond ndio msanii namba moja kwa.sasa.Africa. suelewi hao kola wametumia vigezo gan
Vitu vingine unatumia akili ya kawaida tu....Dimond kaimba na Davido,P.Square,Flavour,Waje,Blacket,Yemi Alade alafu aende akafanye Show Nigeria asishangiliwe?Eddy kenzo kampita mond?? Mmh labda wana vigezo vyao .....ila mfano ukiweka show nigeria ukamleta mond nadhan mond atashangiliwa kuliko huyo eddy kenzo
ni ugonjwa mpya....au...Hawa kola wanaumwa mavi.. niamini mimi
unaweza ukawa sahihi.....Vitu vingine unatumia akili ya kawaida tu....Dimond kaimba na Davido,P.Square,Flavour,Waje,Blacket,Yemi Alade alafu aende akafanye Show Nigeria asishangiliwe?
Watashangilia nyimbo zake kwa sababu zina sauti za watu wanaowajua na sio kwamba wanamkubali au kumuelewa.
Kwa Eddy ni kitu tofauti hategemei Collabo kusogeza Mziki wake ila Ana tuzo ya BET sebuleni Kwake.
mkuu ni KoraHawa kola wanaumwa mavi.. niamini mimi
Hizi tuzo ni za kutilia mashaka. Hivi Diamond unaweza kumlinganisha na Chameleone??!! Inawezekana wanapanga matokeo hawaangalii performance ya mwanamuziki kwa mwaka mzimaHawa kola wanaumwa mavi.. niamini mimi