HIVI KUMJUA SHILOLE AU KUTOKUMJUA UNADHANI NAPUNGUKIWA AU NAONGEZEWA NINI MAISHANI MWANGU?....NINGEKUWA SIMJUI MAGUFULI AU LOWASSA NA JK NINGEONEKANA MNAFIKI ILA SINA SABABU YA KUMJUA SHILOLE WALA US NAVY KUNZO.......HAO HAWAONGEZI WALA KUPUNGUZA KODI YA MAMA MWENYE NYUMBA WANGU KWAHIYO WEKA PICHA TUWAJUWE...
Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda...Shilole,Eddy Kenzo wa Uganda penzi jipya.