Edgar Kibwana na wengine mnatumiwa na nani na kwa manufaa gani?

Kumbuka; kuna nyakati mbili za kujaji mambo, mosi ni kipindi Mambo yanaenda Vizuri (mafanikio) na kipindi unafanya Makosa makubwa! Hizo nyakati tegemea kusemangwa sana. Muhimu ni wakati huu Simba wako wapi
Itasaidia sana kama unajitambua katika hizo ntakati, Simba saivi inajitambua sana kupitia management yake yote, they’ve invested a lot na sidhani kama kwa sasa wapo katika wakati wa makosa makubwa yanayowafanya wachafuliwe namna hii

Kama una-perform vizur na unachafuliwa just move on na kama unafanya makosa makubwa na unachafuliwa tafakari unakwama wapi uchukue hatua stahiki regardless ya nani yupo upande wako coz wengi mamluki eg. Senzo
 
Mafia wa HSC wako nyuma ya hizi hujuma, wamemwaga mamilioni mengi tu kuanzia kwenye media houses hadi kwenye taasisi za kiserikali kuiharibia Simba.
 
Kilichoiua stand united sio watu wa nje, bali zilikuwa ni njaa zao, viongozi baada ya pesa kuanza kuingia!!kuhusu simba/yanga tatizo lenu mashabiki wa mpira nchi hii, mnaendeshwa na mihemuko, na mapenzi, ya virabu, kuliko kuwa wapenzi wa mpira!!yeye MO, mwanzoni aliwaaminisha watu kama wewe kuwa FCC, ndio walikuwa wanamkwamisha, sasa walipoanza kujibu tuhuma hizo, imeonekana nani mbabaishaji!!ile FCC, ni taasisi ya serikali ambayo isipofanya majukumu yake ipasavyo lawama itakuja kuwa kwao, lakini kwakuwa mnaendeshwa na mihemuko mnaona MUDY anaonewa!!ni kweli kuna mambo hayako sawa, ukisoma ile MOU, ya simba, na kilichofanyika hadi leo ni utata mtupu!!hayo mambo ni ya kisheria , tatizo wa washabiki wa bongo kila mtu anajua kila kitu!!kuna mambo mengine watu wamekwenda darasani kusomea miaka si chini ya sita, tuwe tunawapa heshima zao!!hasa kwenye mambo ya sheria!!yaani std three B, anatoana povu na wakili msomi kwenye mambo ya sheria!!ni maajabu!!!
 
Mafia wa HSC wako nyuma ya hizi hujuma, wamemwaga mamilioni mengi tu kuanzia kwenye media houses hadi kwenye taasisi za kiserikali kuiharibia Simba.
Zile bilioni 20 ziko wapi kwanza?!!msitafute mchawi mwambie MUDY, apeleke hizo"documents support"(kulingana na shabiki wa simba mmoja) anavyosema!! Akate mzizi wa fitina mbona ni suala dogo sana!!!yeye aliwaaminisha kuwa FCC, ndio walikuwa wanamkwamisha, sasa mbona walipojitokeza amekuwa mpole?!!huu ni mfumo mgeni lazima changamoto ziwe hivyo sasa isionekane kuwa ni vikwazo kama mnavyojazwa upepo!!hata yanga nao subiria wauanze rasmi lazima kuna changamoto zitajitokeza kutokana na mifumo ya hizi timu zilivyokuwa zikiendeshwa!!
 
Hata sisi ilikuwa ghafla tu manji akaanza kuzongwazongwa hata haieleweki ilikuwaje hadi tukapoteana so kuwa makini mtani sitaki upite niliyoyapitia mm ni balaaaaaa hapafai
 
Sheria gani mbweha wewe?Kwa nini usifuatilie mambo ya timu yako ya utopolo?

Nyie ndio wanafiki mnaoshangilia migogoro ili mfanikiwe kushinda kwa fitna.Utopolo tunawajua bila fitna hamuwezi kufanya chochote
Haaaaaaahaaaaa simba mkipanic huwa nafurahi kishenzi
 
Huyu Edga anahusika na chochote kwenye kuandika waraka ule? Ama kweli mbumbumbu ni mbumbumbu tu.
 
Siku zote ukishaanza tu kuona Mtoto wa Kiume ananenepeana hovyo hasa Mashavu na Makalio kama huyu uliyemtaja hapa jua ameshaharibikiwa.
 
Mashabiki wa bongo ni wapuuzi sana huwa hawataisha kusikia team zao zinaongelewa vibaya hata kama ni kweli, kosa la Kibwana ni wewe ni nini hapo? Yeye ndio kaandika huo waraka wa FCC? yeye kama mwandishi kafanya wajibu wake kutafsiri kilicho andikwa kosa lake lipi hapo una anza kuleta vitu personal , hawa wawekezaji uchwara wanajua weakness za mashabiki wanapita humo humo
 
Ukiulizwa mchakato wa kumpata CEO wa Simba ulifanyika vipi utajibu nini?
 
Huyo huyo amepatikanaje, kwanini aliporwa kutoka simba? Kwanini zisingetangazwa kazi na watu wakaomba, kwanini mkaenda kupora kama sio uhuni ni nini? CEO wa simba ni mtendaji mkuu wa club, wewe ulitaka apatikanaje? Au ulitaka uchukuliwe wewe? Acheni siasa kwenye mpirs, acheni watu wapige kazi , tumechelewa sana!!
Usinihusishe na Yanga nme kuuliza CEO amepatikana kwa mchakato upi? huko Yanga Senzo ni mshauri wa mababiliko
 
Hawa watangazaji wanaoiponda Simba wanapoteza nguvu zao bure maana hakuna wakuzuia mafanikio ya Simba.
 
Huyu jamaa ana WIVU MKALI sana na timu za Tanzania haswa zinazofanya vizuri kimataifa, ana jicho LA HUSDA ..leo hii anasema haoni NAMUNGO ikifanikiwa kwenye kundi lake,..au na yeye alikua anataka share ya pesa wanayopewa namungo ?
tuwe wakweli Namungo anapenyaje kwenye hilo kundi?
 
Hivi hawa mikia vichwa vyao vikoje wao kila mtu anawahujumu mara Senzo anatuhujumu mara Prisca anaihujumu simba nara wasafi wanaihujumu simba mara Kitenge anaihujumu simba hivi kauli ya kuhujumiwa mbona haitoki midomoni mwenu?
 
Huyo jamaa nilikua namkubali ila naona anajiaibisha
leo walikuwa wanaongea kwa kipole kuhusu pafomansi ya utopolo kwa ken gold huku wakitoa ushauri kwa kocha kaze..hahaha siku simba kampiga mwarabu last week mpira yulivyoisha kale ka dada ka zbc 2 kanataka hadi kulia macho mekundu ,aiseee duh
 
leo walikuwa wanaongea kwa kipole kuhusu pafomansi ya utopolo kwa ken gold huku wakitoa ushauri kwa kocha kaze..hahaha siku simba kampiga mwarabu last week mpira yulivyoisha kale ka dada ka zbc 2 kanataka hadi kulia macho mekundu ,aiseee duh
kibwana hafichi chuki zake kwa simba,
Nadhani weredi wake umeshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…