rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Wanaosema waamuzi wanawahujumu ni nani .Hivi hawa mikia vichwa vyao vikoje wao kila mtu anawahujumu mara Senzo anatuhujumu mara Prisca anaihujumu simba nara wasafi wanaihujumu simba mara Kitenge anaihujumu simba hivi kauli ya kuhujumiwa mbona haitoki midomoni mwenu?
Msikilize sports extra anavyobwabwaja na wenzie hapo cloudskibwana hafichi chuki zake kwa simba,
Nadhani weredi wake umeshuka
Kwani kwenye movie wanaofaidi ni kina naniNi upuuzi kushabikia timu wakati wanaofaidi ni wachezaje, bia anywe mtu mwingine kulewa ulewe wewe ni sawa kweli, me sina ushabiki wa timu yoyote duniani ila ukitaka kilevi cha kweli analia movie au ziliwaze kwa kucheza hata Game huondoa strees