Edina mwanangu, uzuri wako ni wa babaako. Usikosee kuchagua mume

Utapata wakwe kama wote umsaidie kuchagua
 
Mama Edina,
Tunaweza kuongea chemba kidogo tofauti na hapa, nataka nikuongezee cha kumshauri mtoto wetu Dinah.
 
Huu uzi siku si nyingi utakuwa ni adui wa vijana weupe 😂😂
 
Wanawake wa siku hizi wanazaa watoto wazuri sana
 
Dah.....ningefurahi sana kama ningechanganya damu na Edina 🤣 🤣
 
Unazungumzia uzuri upi?
Uzuri Wa nje au wa ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…