Mwanangu ni mrembo Sana hata kuliko Mimi mamaako View attachment 2463547
Umechagua baba wa wanao mzuri sana ni tatizo na ukichagua mbaya Sana ni tatizo pia. Uwe una balance.
Edina mwanangu uzuri wako ni kwa sababu nilijua kumchgua baba ako. Usikosee kuchagua mume.View attachment 2463545