Qatif
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 379
- 860
Kutoka kwa Mchambuzi wa kituo cha Wasafi FM Eddo Kumwembe.
Ahhhh ndio maana kila siku napoteza mapenzi na huu mchezo. Mchezo umekuwa laini sana well, nasikia hii ya kwamba kipa wa Simba Ally alikuwa anaondoka haraka katika mstari ndio maana Yanga wakakosa Penalti.
Guys haya masheria yenu yameanza siku hizi, zamani wakati nacheza kipa atoke au asubiri lazima penalti yangu iende nyavuni. Am sure wachezaji wa Yanga walikosa penalti zao wajilaumu wenyewe kwa upigaji wa kibwege kuliko Ally kuwahi kutoka katika mstari hatua 12 ni karibu mno mtu kutupia nyavuni.