Penati za siku hizi nyingi zinapigwa za kasi na zenye nguvu ukiachilia mbali ufundi maana inaongeza uwezekano wa mpira kuingia nyavuni hata kama kipa ataufuata. Salum kuruka upande sahihi kwa penati zote na kudaka 3 ina maana wapigaji ndiyo wabovu.
Kutoka kwa Mchambuzi wa kituo cha Wasafi FM Eddo Kumwembe.
Ahhhh ndio maana kila siku napoteza mapenzi na huu mchezo. Mchezo umekuwa laini sana well, nasikia hii ya kwamba kipa wa Simba Ally alikuwa anaondoka haraka katika mstari ndio maana Yanga wakakosa Penalti.
Guys haya masheria yenu yameanza siku hizi, zamani wakati nacheza kipa atoke au asubiri lazima penalti yangu iende nyavuni. Am sure wachezaji wa Yanga walikosa penalti zao wajilaumu wenyewe kwa upigaji wa kibwege kuliko Ally kuwahi kutoka katika mstari hatua 12 ni karibu mno mtu kutupia nyavuni.
Halafu hapo hapo kwenye kupigwa kwa kasi, kuna wachezaji wengine wanatishia kwanza kupiga halafu golikipa akipotea kisha wanaachia shuti, na Penalti ya mwisho Diara aliwahi kutoka kwenye mstari.Penati za siku hizi nyingi zinapigwa za kasi na zenye nguvu ukiachilia mbali ufundi maana inaongeza uwezekano wa mpira kuingia nyavuni hata kama kipa ataufuata. Salum kuruka upande sahihi kwa penati zote na kudaka 3 ina maana wapigaji ndiyo wabovu.
Hawataki kusema tu ila Diarra jana hata mchezoni hakuwa mzuri, anajiamini kupitiliza. Jana zile pasi zake ndefu nyingi zilikuwa zinapotea.Halafu hapo hapo kwenye kupigwa kwa kasi, kuna wachezaji wengine wanatishia kwanza kupiga halafu golikipa akipotea kisha wanaachia shuti, na Penalti ya mwisho Diara aliwahi kutoka kwenye mstari.
Diarra kama angekua mbovu kwa jana basi angeruhusu magoli ndani ya dk 90... Jamaa ni kipa wa mpira yule ( makipa wazawa wengi inabid wajifunze namna ya kulinda linda kama diarra).. Swala la golikipa kupoteza mipira sio ishu saan, mipira inapotelea zone ip? kwenye half yake / mpinzani?Hawataki kusema tu ila Diarra jana hata mchezoni hakuwa mzuri, anajiamini kupitiliza. Jana zile pasi zake ndefu nyingi zilikuwa zinapotea.
Kilichowacost Yanga na Singida ni kumdharau Salum. Niliwahi kusema kama kuna wachezaji waliopewa mazoezi magumu kule Uturuki walikuwa ni makipa.
Vijana wa CCM buana hata hawasomi andiko,full kukimbilia kukomenti.Chawa wa gsm huyo kenge tu
Hayo ni mapema sana kutoa hukumu, ndo kwanza Ngao ya Jamii.Pamoja na yote bado kiwango cha mnyama hakiridhishi. Jana nilishuhudia butua butua nyingi sana kwa mnyama nikajiuliza timu hii kama haita maliza mshindi wa tatu basi iombe tu iingie top four.
Jana Simba haikuanza na mindset ya kushambulia ndiyo maana uliwaona kina Boko uwanjani wakati kina Baleke, Kibu na Phiri wako nje. Uwezo wa kuanzisha mashambulizi ni moja ya sifa ambazo mmekuwa mnampa Diarra kwa hiyo akiwa anapoteza mipira timu lazima iathirike.Diarra kama angekua mbovu kwa jana basi angeruhusu magoli ndani ya dk 90... Jamaa ni kipa wa mpira yule ( makipa wazawa wengi inabid wajifunze namna ya kulinda linda kama diarra).. Swala la golikipa kupoteza mipira sio ishu saan, mipira inapotelea zone ip? kwenye half yake / mpinzani?
Halafu si mara zote ukicheza vizuri utapata matokeo ya ushindi, kuna wakati mbinu ndo huamua matokeo ya ushindi hasa hizi game za kombe uwanjani.Pamoja na yote bado kiwango cha mnyama hakiridhishi. Jana nilishuhudia butua butua nyingi sana kwa mnyama nikajiuliza timu hii kama haita maliza mshindi wa tatu basi iombe tu iingie top four.
Yaani hata ya Onana ambayo Diara alipoteza maboya nayo siyo? Unataka penalty zipige kama Krosi au Kona [emoji1787]
Kuanzia penalty ya Saido sikuona penalty yyte nzuri ya maana Simba/ Yanga kilichobaki ni bahati
Upigaji mbovu, umeshajua jamaa mzuri ukipiga kushoto still wachezaji wanapiga kule kule, what do you expect?Penati za siku hizi nyingi zinapigwa za kasi na zenye nguvu ukiachilia mbali ufundi maana inaongeza uwezekano wa mpira kuingia nyavuni hata kama kipa ataufuata. Salum kuruka upande sahihi kwa penati zote na kudaka 3 ina maana wapigaji ndiyo wabovu.