daaah.Wanashindia Soda ya 500/= na Biscuits za 300/= na bado zinabaki.
Halafu eti ukalime!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha maneno mengi......ukiwambia twende kazi wanaanza ohh mara ahhhKilimo cha wasap Labda ndio wanaweza
Pole kwa kudhani walienda kulima vitunguu wenzako walikuwa wanakwenda kulima bangiWakuu,anaandika Edo kumwembe
Hivi ile fashion ya vijana wa dar kwenda kulima vitunguu Ruaha imeishia wapi....
Acheni kuchezea kazi za watu....
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππPole kwa kudhani walienda kulima vitunguu wenzako walikuwa wanakwenda kulima bangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi siyo mpunga miche 100 tu ya bangi inakutoa kimaisha ndiyo waliyokuwa wanalimaWanashindia Soda ya 500/= na Biscuits za 300/= na bado zinabaki.
Halafu eti ukalime!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] watake radhi mkuu!Wanashindia Soda ya 500/= na Biscuits za 300/= na bado zinabaki.
Halafu eti ukalime!
Sent using Jamii Forums mobile app