Edo Kumwembe na Idris Sultan punguzeni ushamba

Kwakufanya hivyo wajue nawao wanafanya kosa Kwa kuondoa nembo ya udhamini bila makubaliano na wahusika na ni kinyume na Sheria, bora wangeacha kupost hizo picha kwasababu siyo lazima wazipost kama wanajua mikataba yao inawazua kufanya hivyo.
Haswaaa!!
 
Lengo la mdhamini wa timu husika ni yeye ajitangaze kupitia hiyo timu mkuu. Unapofuta bango lake hujamtendea haki, japo sijui Kama ana haki ya kushtaki au vp.
Lakini ukumbuke maoni binafsi si sheria, Unless uniambie kuna vifungu vya sheria.

Kila mtu ana maono yake na interpretation zake.
 
Inawezekana kuna Sheria zinavunjwa.

Kwamba unaitumia club kupata ambayo yenyewe ni maarufu iwe Yanga ama Simba ambao umaarufu wao wameupata kwa gharama halafu unaondoa wanaowagharamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…