inasemekana ya kuwa undisputed tanzania top football analyst Edo kumwembe analipwa milioni sita kwa mwezi kwa kazi ya uchambuzi wa soka ndani ya Azam TV...ikumbukwe kuwa nguli huyo wa kuchambua soka ana mikataba binafsi na Bin Slum Tyrea na TSN group of companies....Edo kumwembe ni mwajiriwa wa Mwananchi Communications Limited
Eddo ni mchambuzi bora zaidi kwenye maandishi na mambo ya soka nyuma ya pazia ila mchambuzi bora zaidi wa soka katika uhalisia wake nikimaanisha mchambuzi mechi hadi mechi Dk leakey[/QUOTE][QUO TE=Rio Tinto;11142927]inasemekana ya kuwa undisputed tanzania top football analyst Edo kumwembe analipwa milioni sita kwa mwezi kwa kazi ya uchambuzi wa soka ndani ya Azam TV...ikumbukwe kuwa nguli huyo wa kuchambua soka ana mikataba binafsi na Bin Slum Tyrea na TSN group of companies....Edo kumwembe ni mwajiriwa wa Mwananchi Communications Limited
Dr Leakey huwa anachambua wapi,nilienjoy wakati wa w.cup ,now sijui yupo wapiEdo anachambua vizuri, ingawa mimi namkubali zaidi kwenye makala zake. Lakini mbona mimi kama namuona Dk Rick kama ndiyo mkali zaidi kuliko wote Bongo?
Dr Leakey huwa anachambua wapi,nilienjoy wakati wa w.cup ,now sijui yupo wapi
Nashangaa watoto wanavyokosa adabu umu. Eddo ni mkali ila hafiki ata nusu ya Dr Lick, Dr anachambua mpira awa wengine wanahubiri mpira.
Nashangaa watoto wanavyokosa adabu umu. Eddo ni mkali ila hafiki ata nusu ya Dr Lick, Dr anachambua mpira awa wengine wanahubiri mpira.
Hivi leakey anachambua wapi ,last time ilikua pale CH.ten kwenye wc
Inasemekana ya kuwa undisputed Tanzania top football Analyst Edo Kumwembe analipwa milioni sita kwa mwezi kwa kazi ya uchambuzi wa soka ndani ya Azam TV.
Ikumbukwe kuwa nguli huyo wa kuchambua soka ana mikataba binafsi na Bin Slum Tyrea na TSN group of companies. Edo Kumwembe pia ni mwajiriwa wa Mwananchi Communications Limited.
Nifah u have impressed me....try me u won't be disappointed
uzuri wa edo hana bias... uchambuzi wake hauendeshwi na mihemko na mahaba upofu kama ilivyo kwa wale jamaa zetu wengine wale xxxx