barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
Ananiboa sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
suggest basi atumie neno ganiHuyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
Kwahiyo sisi tufanyeje?
Tafuta malimao
Kwahiyo sisi tufanyeje?
Tafuta malimao
Mbona wewe unatumia mdomo kula kila siku huchoki, siku nyingine tumia tundu lingine basi! Sisi tunamwelewa jamaa ni mkali katika uchambuzi inatoshaaa.....
Tanzania ina upungufu pia wachambuzi wa soka.....wengi wanabangaiza tu sana
ndo maana Edo anaonekana very unique...