Edo Kumwembe na neno 'THE WAY'

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
 
Edo ni mkali sana hapa bongo ktk soka sasa mbona maalim anatumia sana neno sawasawaaa!husemi
 
Last edited by a moderator:
Amekusikia atajirekebisha mtoto mzuri eeh.
 
Tanzania ina upungufu pia wachambuzi wa soka.....wengi wanabangaiza tu sana
ndo maana Edo anaonekana very unique...
 
Mbona wewe unatumia mdomo kula kila siku huchoki, siku nyingine tumia tundu lingine basi! Sisi tunamwelewa jamaa ni mkali katika uchambuzi inatoshaaa.....
 
Mbona wewe unatumia mdomo kula kila siku huchoki, siku nyingine tumia tundu lingine basi! Sisi tunamwelewa jamaa ni mkali katika uchambuzi inatoshaaa.....

Aliyesema yeye sio mchambuzi mkali atakuwa ni mtu mwingine, sio mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…