MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 629
- 658
Aisee!ni mshambaa hana swagga halafu ye anajiona born town mbayay
Aisee!
shikamoo lawyer
Ha ha haaaaaa kumbe wengi wanaona hilo...
ni mshambaa hana swagga halafu ye anajiona born town mbayay
Marahaba! Unajua Star TV tanzania wako nyuma sana kuanzia mpangilio wa vipindi hadi aina ya watangazaji wanao hitajika kwenye vipindi vya burudani.shikamoo lawyer
hawa startv hawajui kabsa kutafuta mapresenter wajanja!
kama huyu ni lawyer basi hiyo kesi umeshashindwa kabla haijaanza, otherwise aniprove wrong kwa vitendo na kuonesha kwa vitendo lawyer ni mtoa huduma kwa wote ilimradi alipwe stahili zake.
Marahaba! Unajua Star TV tanzania wako nyuma sana kuanzia mpangilio wa vipindi hadi aina ya watangazaji wanao hitajika kwenye vipindi vya burudani.
Mimi Huyo jamaa sijawai kumuona wala kuona hicho kipindi Lakini sina doubt na yanayo semwa maana Star tv wanajulikana wako nyuma sana.
Tatizo wamejaza wazee kila kipindi wakati kuna vipindi vingine vina hitaji vijana wabichi.
Kuna tangazo lao mmoja ni la mashindano ya kudance sasa linatangazwa kama Habari za kitaifa vile kumbe burudani na lina tangazwa na watu walio zoea kutangaza habari za kisiasa halafu wazee daaa huwa nikiliona nacheka sana daaaaa .......
Star tv wana tatizo kwenye aina ya watu wa kuajiri, Wao wana fikiri kila mtangazaji ana faa kwenye kila idara na cha kushangaza muda wote huo hawajifunzI kwa wenzao EATV.
No Mkuu kifimbo cheza! Unajua hapa kinacho ongelewa ni aina ya watangazaji na kazi wanazo pewa! Mimi nimecheka maana naona kama taarifa ya habari sasa ni wangapi hawavutiwi kabisa?kama ulicheka basi limekuvutia kama limekutia 'adhma yao imetimia'
No Mkuu kifimbo cheza! Unajua hapa kinacho ongelewa ni aina ya watangazaji na kazi wanazo pewa! Mimi nimecheka maana naona kama taarifa ya habari sasa ni wangapi hawavutiwi kabisa?
Star TV wana hitaji kubadilika
Kama alivyosema lawyer
kaka Ruttashobolwa uko sawa kabisa maana kuna kipindi sauda mwilima alivyoolewa then akapata matatizo na ujauzito wake kuna huyo. mdada alianza kutazamani jaman unaweza kulia na kuona taaluma imeingiliwa sasa.
ni muda wawe makin na uchaguzi wa watangazaji kwakweli.
Vipindi vyao vimepooza balaa kiasi cha kwamba nilikuwa natamani waanzishe channel nyingine inayoenda na wakati na wawaajiri wanaoenda na wakati na hii chaneli ya sasa iendelee kama kawaida na vipindi vyao vya kilimo,ufugaji na mambo ya vijijini.Star tv ilikuwa inawafikia wengi hata kabla ya digital ni kituo kikubwa watambue hilo.