Jina lake kamili ni Edson oswald Mbogoro.Ni mwanasheria wa kujitegemea aliyepitia machungu mengi ikiwa pamoja na kuporwa ubunge na Nchimbi kule Songea lakini bado ameendelea kuwa mpiganaji na katika kesi ya Mnyika yeye ndiye aliyeshika kesi ya Mnyika na leo kaleta furaha kwa wanamapinduzi.Bravo Mwanasheria Mbogoro.
atakumbukwa na wana watanzania wenye nia njema na nchi hiii lakini pia tufikilie mbali zaidi ya hapa ambapo watu hupenda mda mwingi upotee mahakamani pasipo sababu za za msingi ni ahtua gani stahili dhidi upuuzi huu
mbogoro namfahamu sana nilimpaga kura yangu 2005 dhidi ya mchimbi jamaa anapointi sana avyoongea huchoki kumsikiliza na ni msomi wa ukweli ameporwa ubunge mara tatu mara mbili na mchimbi mara moja na Gama.lakini 2015 jimbo lake magamba wenyewe wanajua.!