Educated Fools with Money on their Minds

Educated Fools with Money on their Minds

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Nimeangalia mustakabali wa Taifa letu na tulipo sasa na tunapoelekea nikajikuta nakumbuka mistari ya Coolio.., watu imekuwa ni msemo wa tafuta pesa..., yaani sio toa huduma wala fanya jambo ili upate pesa bali pata pesa by any means necessarily...

Hapo naona kama hawa ni educated fools with money on their minds na vilevile nikiendelea ku qoute Coolio huenda wanakimbilia sehemu fulani wakijua kuna kitu kinafanyika bali hawajui ni kitu gani....

Everybody's running, but half of them ain't looking
It's going on in the kitchen
But I don't know what's cooking
Lakini kama haya makosa yanafanywa na vizazi vya hivi karibuni ni vigumu kuwalaumu..., sababu nikiendelea na Coolio....

They say I gotta learn
But nobody's here to teach me
If they can't understand it, how can they reach me?
I guess they can't
I guess they won't, I guess they front
That's why I know my life is out of luck, fool!

Sababu kama kizazi hiki kimezaliwa kwenye dunia ya kwamba pesa ndio mpango mzima mwanzo na mwisho huenda sisi tunaodhani ni tofauti ni vigumu kuwabadilisha sababu hatuwaelewi hivyo ni vigumu kuwafikia...

Ingawa Coolio alikuwa anaongelea dunia yake ya Gangsta Life / Street Life na ni jinsi gani ni vigumu kutoka lakini huenda hii life ya kuwa watumwa wa faranga nayo ni another rat race.....
 
mkuu tafuta pesa,naona unapoteza focus
Pesa ni means to an end na sio be-all, end-all ama sivyo tutakuwa tunafundishwa na waalimu wanawaza miradi yao ya bata na madaktari wanawaza kilabu chao cha pombe (hence service being mediocre) na wanasiasa badala ya kusimamia ethics na fikra zao wanageuka kuwa chawa.... (Just in the name of Cash)
 
Huku tumeshafika.

Ni wewe tu umechelewa kung'amua.
 
Back
Top Bottom