KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Oct 7, 2012 #1 Wana jf kuna rafiki yangu anataka kuanzisha website ambayo itakuwa inatoa notes za masomo ya sayansi. Vp hii idea ni nzuri au.
Wana jf kuna rafiki yangu anataka kuanzisha website ambayo itakuwa inatoa notes za masomo ya sayansi. Vp hii idea ni nzuri au.
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 532 Oct 7, 2012 #2 Ni notes na sio notice. nini itakuwa chanzo cha notes hizo? ataandaa mwenyewe au ataweka links kwa sites nyingine? analenga audience gani? global au TZA? anatarajia kufanya specialization katika field fulani ya sayansi au jumlajumla? Sijakujibu kama idea ni poa au la, ila nimekupa nafasi ya kupanua mipango yako.
Ni notes na sio notice. nini itakuwa chanzo cha notes hizo? ataandaa mwenyewe au ataweka links kwa sites nyingine? analenga audience gani? global au TZA? anatarajia kufanya specialization katika field fulani ya sayansi au jumlajumla? Sijakujibu kama idea ni poa au la, ila nimekupa nafasi ya kupanua mipango yako.