EDUCATION DEBATE : 133 degree programs offered by universities in Kenya

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau Habarini za asubuhi wana jumuiya ya EAC, katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na paper review kipindi cha TV kina rushwa na KTN (Kenya) sasa kuna gazeti limeripoti uwepo wa degree programs 133 ambazo ni useless na watahiniwa wake wana struggle ktk soko la ajira. Kiukweli hii changamoto sio kwa Kenya tu.

Source
 
Siamini kama kuna degree ambayo ni useless
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo degrees ni useless in terms of ajira ama ukombozi wa kifikra, hakuna degree isio na maana, hii imetafsiriwa vibaya na wewe ukaileta humu kwa kunga mkono
a tree is known by its fruit
 
Ni kawaida hii kutokea kwa nchi zinazokua, hebu tujadili tuone, dunia imebadilika dunia ya sasa sio hile ya miaka 20 iliyopota technology imekua advanced vitu vingi ni computerised imepunguza ajira, pia elimu imeleta changamoto wasomi kwa sasa wamekuwa wengi lakini ajira zimeshuka, lakini sio kwasababu ya degrees tunazosomea, sahivi wasomi ni wengi ukanda huu wa East Africa Countries lazima ajira automatically itakua scarcity, tunasema demand is higher than supplies na huo ndiyo ukweli, wakenya kwa hili wamechemka waje na hoja nyingine
hilo ni kweli lkn hii mada imebeba uzito sababu ya tatizo la YOUTH UNEMPLOYMENT

a tree is known by its fruit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…