Derickdeo21
Member
- Oct 3, 2019
- 12
- 6
Zipo ila kwa vyuo na course chacheHellow habari za mida hii wanajamvi natumai mungu anajalia uzima kwanza kwa majina naitwa Derrick Deo nimekuja mbele yenu na baadhi ya maswali ambayo nahitaji usadizi wenu kwa njia yeyote samahani nilikua nataka kujua kuna asasi gani au taasisi zinazotoa usadizi kwa wanafunzi mbao ni non degree ahsante in ilo tyu
Naomba unisadie taasisi izoZipo ila kwa vyuo na course chache
Mfano
DIT na
ATC
Ahsante sana kwa ushauri kikubwa mimi ninachotaka ni kupata mtu au taasisi wa kuweza kunisadia katika masomo ya chuo kwa upande wa ada kuhusu mlolongo wa elimu yanga nilaanza 2005 mpaka 2011 shule ya msingi baada ya apo nikajiunga elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2012_2015 baada ya apa nikajiunga elimu ya juu kuanzia 2016_ 2018 kwahiyo mpaka saivi nishakaa mtaani miaka miwili sina mtu wa kuweza kunishika mkono wa kuendelea na masomo ya chuo ni hayo kwa ufupiKwa mujibu wa bandiko lako kwa kuwa bado ulikuwa unamzungumzia subject basi ulipaswa kusema ''non degree holder'' na si non degree ndo maana nikasema kuongeza njonjo za lugha ya kigeni kwenye sentensi inaleta ladha ila ina ukakasi kama sarufi haikupaniliwa vizuri.
Tukiachana na hayo ukitaka msaada sema kabisa mlolongo wako wa kielimu, kwamba umepita hapa na pale na kwamba ulishindwa kufikia malengo kwa sababu hii na ile na kwamba ulihitaji msaada wa aina hii ama ile ili ushauri ulenge panapotakiwa.
Nina div three ya 15 na form four nikipata division three ya 23 nilisoma HGE nimetuma maombi chuo cha bandari na IFMUna point ngapi kidato cha sita? Ulisoma mchepuo gani? Kidato cha nne ufaulu kwa alama zipi? Una udahili wa chuo chochote kwa sasa?
ChanganuaaaNina div three ya 15 na form four nikipata division three ya 23 nilisoma HGE nimetuma maombi chuo cha bandari na IFM
Ndo maana naona vijana wavivu sana...Muomba msaada anakuwa mvivu kuliko anaotaka wamasaidie.Changanuaaa
Gredients
UmeonaeèeeeNdo maana naona vijana wavivu sana...Muomba msaada anakuwa mvivu kuliko anaotaka wamasaidie.
Form fourChanganuaaa
Gredients
Chuo cha bandari nimeomba (Logistics and transport management)Changanuaaa
Gredients
Level ghan. ..??Chuo cha bandari nimeomba (Logistics and transport management)
Ifm nimeomba course zifuatazo
01.computer science
02.social protection
03.taxition
Computer science mwaks uliopita nilikua nimechhaguliwa IFM sababu ya geograph na economics nimeomba diplomaLevel ghan. ..??
Computer Science na HGE imekaajee..????
Umeomba diploma au certificate au degree....?Form four
Civics D
English C
Kiswahili D
Geograph C
History C
Chemistry C
Biology C
Math F
Physics D
Form six
History E
Economics E
Geography E
Bam F
Ko umechaguliwa kozi gani...?Computer science mwaks uliopita nilikua nimechhaguliwa IFM sababu ya geograph na economics nimeomba diploma