Ni kabla ya post za form five kutoka
Unataka kuapeal una uhakika wa kufaulu?
yes G nilikua nazichanga kwanza xo nimexhapata ndo mana naulizia deadln na process je?
unajua kwanini nakuuliza una uhakika? Ni kwamba wakikusahihishia tena pepa na ukawa umefaulu gharama zako zote na muda wako uliopoteza utalipwa fidia
am sure g! i surely dnt deserve wot i got ikiwa hvyo ntafurah xana xo process zpoje km upo mkoan lzm uende baraza palepale!
deadline ya kuappeal ni lini? na je kuna faida juu ya hili?
Lazma uende lakini uende na fomu ambayo imeshajazwa ambayo inapatikana kwenye(unatakiwa utumie kompyuta kuidownload)
www.necta.go.tz/forms/FOMU_ YA_RUFAA.doc alafu uiprint.ukimaliza uende nayo baraza ili kuokoa gharama za nenda rudi nenda rudi kwasababu hii fomu inapatikana pale baraza kwa hyo hapo itakuwa rahisi sana kwa sababu utakuwa unaenda moja kwa moja ukiwa umekamilika
Sent from iPhone