yaan mimi nakubaliana nahuu msemo kabisa. nafikir unajua kuwa dhana nzima ya ellimu ni either ushinde au ushindwe, istoshe mtu akienda kwenye mchezo hapewi taji hata ameshindana kwa halali. so kwa wanafunzi mpaka wameshinda kwa halai ndipo watapata taji. hii ni vita na yawapasa kupigana.
wapigane na mafataki.........
wapigane na umeme wa shida...............
wapigane na nyanga ngumu, na nyingi..................
wapigane na makonda na madereva................
wapigane na hali mbaya ya kiuchum ya familia................
wapigane na foolish age...........
wapigane na ujinga...............
that is Tz education nobody cares.