T tan 90 Senior Member Joined Jul 29, 2012 Posts 182 Reaction score 36 Feb 21, 2013 #1 Habari za muda huu mwana jf,nimekuja hapa mbele yako kutaka kufahamishwa kitu kimoja,nataka kujua kama mtu ambaye anasoma diploma ya engineering hapa nchini anaweza kupata sponsor wa kudhamini elimu yake? Kama unafahamu kuhusu hilo tafadhali nijuze.
Habari za muda huu mwana jf,nimekuja hapa mbele yako kutaka kufahamishwa kitu kimoja,nataka kujua kama mtu ambaye anasoma diploma ya engineering hapa nchini anaweza kupata sponsor wa kudhamini elimu yake? Kama unafahamu kuhusu hilo tafadhali nijuze.