Educational Course

Educational Course

Wizsoudy

Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
11
Reaction score
8
Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
 
Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
Apo labda vyuo vya ufundi ,veta ukapate ujuzi rafiki
 
Hawa jamaa wa kuchomelea na Aluminium cjui vigezo ni vp lakn inalipa sana
 
Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
Umepata four ya ngapi au zero ya ngapi? ili tukupe ushauri vizuri Mkuu
 
Kasomee ufundi bomba au umeme..hulali njaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umeme wa magari maana siku hizi magari mengi ni ya umeme...utawapiga gap sana mafundi wa chini ya mti...
 
Back
Top Bottom