Apo labda vyuo vya ufundi ,veta ukapate ujuzi rafikiWapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
Ndo hicho nnachokusudia asa,sasa ndo nataka fani nzuri ya kusomea itayomtoaApo labda vyuo vya ufundi ,veta ukapate ujuzi rafiki
Umepata four ya ngapi au zero ya ngapi? ili tukupe ushauri vizuri MkuuWapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha