Wakuu,
Kuna rafiki yangu anataka kuinvest kwenye elimu ya juu. Yeye ana uwezo wa kuorganize manpower/personnel na technical requirements zote kama programmes, syllabi, modes of delivery, evaluation, administration etc.,.
Sasa anahitaji mdau (mwenye akili timamu) ambaye anaweza kusaidia upande wa physical space kama vile kwa ajili ya madarasa, labs na offices. Utoaji wa elimu alioubuni kwa kushirikiana na wadau wengine wa overseas unahusisha recent technologies na new trends in education platforms, pia kozi zitakazofundishwa ni hot-cake na marketable. Mwenye nia aniPM.