Ajifunze kwa George Masatu au Canavaro wa Italy sio yule wa Mwanakwerekwe.Kuwa mrefu sio kuwa na uwezo wa kucheza aerial goal Mkuu
Takataka[emoji23][emoji23][emoji23]
Itoshe kusema
Hata wachambuzi jf nao ni,,,.......
Hakuna ndio maana hata Manyama nae amesaini Simba Sc kwa miaka mitatu kuanzia msimu ujao.hivi kuna mchezaji anaweza kukataa kusaini Simba?hata bure?
ukiona hivyo ujue hahitajiki. au tukusajili kukuna ndevu za Morison ndo uelewe nachosema?Hakuna ndio maana hata Manyama nae amesaini Simba Sc kwa miaka mitatu kuanzia msimu ujao.
Achana na kina masatu ,enzi hizo hata kona ikipigwa kwenda golini mwa simba una hakika mustapha hoza,hussein masha,fikiri magoso wataokoa kwa kichwa bado hujazungumzia makipa yaliyokuwa na mwili..mwameja, nemesi, katuba, mackenzie ramadhan.Ajifunze kwa George Masatu au Canavaro wa Italy sio yule wa Mwanakwerekwe.
Samahani Mkuu, ukiandika jaribu kuhakiki (Fanya Editing).Habari mbaya kivipi kwa msimbazi labda utueleze mtoa post....