Edward lowasa!

Edward lowasa!

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,757
habari kutoka Monduli za Uhakika kutoka Monduli zinasema Mheshimiwa Edward Lowasa yupo hoi bin taaban. ile stroke imelipuka tena na hii sio ile yua kufanya kazi ngumu ila wajanja wamekula fedha zake juzi alipokuwa Arumeru akidhani ni wana CCM wenzake lakini pia amegundua kuwa mkwewe hashindi hali ni mbaya sana. Walinzi wake wanahangaika kukodi Helkopta.
Source : mwanafamilia
 
Back
Top Bottom