Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Definetly. Polisi hapo lazima wajichukulie umaarufuHawataruhusiwa kuingia uwanjani
Wataitwa wachochezi
Kwahiyo lowassa haruhusiwi kwenda kuangalia Mpira uwanjaniWa kisiasa unatafutwa uwanja wa mpira!!!!!!
Wanaangaika sana
Si kama zile za kuwajali na kuwa na uchungu sana na wanyonge wa Nchi hii.SIASA ZA MAIGIZO NA MBWEMBWE ZIMEANZA MAPEMA. MIMI NIKONAJIANDAA KUDEKI BARABARA NA UWANJA MZIMA. HALAFU NA KUZUNGUSHA MIKONOOOO