Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

Huu ndiyo utu na siyo kuwaziana mabaya. Uhai anatujaalia Mungu. Afya njema inatoka law Mungu. Tusiombeana mabaya tupendane kama watoto wa mama moja.
Kweli kabisa mkuu, umenena vema. Upendo utawale
 
Najaribu kuzitafakari sura za wagonjwa !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…