myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 235
Nimebahatika kufuatilia documentary ya huyu jamaa!
Kiukweli matukio yake yameniacha kinywa wazi! Je ni kweli alikuwa muhalifu wa kiasi hiko au amepambwa tu na vyombo vya habari vya Kenya?
Naomba mnijuze zaidi kuhusu mkachinja huyu