nimebahatika kufuatilia documentary ya huyu jamaa!kiukweli matukio yake yameniacha kinywa wazi!je ni kweli alikuwa muhalifu wa kiasi hiko au amepambwa tu na vyombo vya habari vya Kenya?naomba mnijuze zaidi kuhusu mkachinja huyu
haaaa huyu jamaa alikuwa ni hatari sana.we nenda kwa maafisa wa polisi kenya utaambiwa...alitoroka zaidi ya maratano mahakamani na polisi...siyo huyu tu,kuna rasta ,na yule jamaa alieokoka aliyewahi kuba majeneza zaidi ya miatisa kwa kuyafukua ardhini