Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nimeamini Lowassa ni chaguo la Mungu,yani kila napopita ni Lowassa tu aiseee hakuna nani wala nani wote kafunikaa,ni mtu anaeongozwa kusemwa sana kwenye vyombo vya habari kama tv,magazeti,radio.
Vyoye ni Lowassa tu hakika ni Raisi anaetarajiwa na watanzania wote yaan Vipaumbele vyake ni Elimu,Elimu bure ,vivukio bure hakuna kuogelea wala kupiga mbizi tena,japo tume ya uchaguzi ni ya CCM Lowassa ataingia Ikulu kiulaini kama ananawa.
Waogope sana watu waonbao kura kwa makeke mengi kama chenga za Messi tuyakubali mabadiliko,tusiupende umasikinii ,umasikini ni dhambi sio sifa,
Tumpigie kura za mafuriko Lowassa.
Tunakupenda Lowassa na tunataka mabadiliko