Edward Ngoyai Lowassa ana nyota kali

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Nimeamini Lowassa ni chaguo la Mungu,yani kila napopita ni Lowassa tu aiseee hakuna nani wala nani wote kafunikaa,ni mtu anaeongozwa kusemwa sana kwenye vyombo vya habari kama tv,magazeti,radio.

Vyoye ni Lowassa tu hakika ni Raisi anaetarajiwa na watanzania wote yaan Vipaumbele vyake ni Elimu,Elimu bure ,vivukio bure hakuna kuogelea wala kupiga mbizi tena,japo tume ya uchaguzi ni ya CCM Lowassa ataingia Ikulu kiulaini kama ananawa.

Waogope sana watu waonbao kura kwa makeke mengi kama chenga za Messi tuyakubali mabadiliko,tusiupende umasikinii ,umasikini ni dhambi sio sifa,

Tumpigie kura za mafuriko Lowassa.

Tunakupenda Lowassa na tunataka mabadiliko
 
Me naona tarehe 25 Oktoba kama mbali vile.....
 
Lowasa ndo Rais wetu tushaamua ivo
 

Belive that man lowassa the comin president
 
Tyta njoo bana uweke picha za raisi mtarajiwa awamu ya 5,au yeyote anaeweza weka picha za Raisi Lowassa aweke hapa
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha kama chenga za King Messi atoto cute b everlenk Aleyn
 
Last edited by a moderator:
baeleze baelewe!.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…