tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,863 Reaction score 19,626 Sep 27, 2015 #41 Mapemaaa 25 oct ukawa ndani ya jumbaa.......lazma mwaka huu ccm waondoke
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Sep 29, 2015 #42 Nyota ya kifalme
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 24,844 Reaction score 29,126 Sep 29, 2015 #43 Watu na nyota zao
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Sep 29, 2015 #44 Ni zaidi ya mahaba, hadi namuota lowasa
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Sep 29, 2015 #45 Nampenda Lowassa kuliko M..... Heheheee ngoja niache tu nisijepigwa kibuti. #LowassaForPresidency2015
Nampenda Lowassa kuliko M..... Heheheee ngoja niache tu nisijepigwa kibuti. #LowassaForPresidency2015
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Sep 29, 2015 #46 Evelyn Salt said: Ni zaidi ya mahaba, hadi namuota lowasa Click to expand... Mimi nikimuona na lile tabasamu lake lazima na mie nitabasamu tu. Huyu mzee kanishika pabaya sana...lol
Evelyn Salt said: Ni zaidi ya mahaba, hadi namuota lowasa Click to expand... Mimi nikimuona na lile tabasamu lake lazima na mie nitabasamu tu. Huyu mzee kanishika pabaya sana...lol
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Sep 29, 2015 #47 magnifico said: Japokua mimi #teamRUNGWE ila kura yangu nitampa #MAMVI. Click to expand... Rungwe ndio nani?
magnifico said: Japokua mimi #teamRUNGWE ila kura yangu nitampa #MAMVI. Click to expand... Rungwe ndio nani?
Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,782 Reaction score 3,199 Sep 29, 2015 #48 Unasemaje niffah