Edward Snowden: Jasusi wa kimarekani alivyopania kumdhalilisha Obama

Hcho ndicho kinachonijia akilini....warusi wawe makini na huyu jamaa...
 
Usisahau kunitag ukujia na Story nyingne Mkuu
 
Hii mada ishawahi jadiliwa humu mods piga panga huu uzi..
Hakuna hatimiliki ya mawazo humu, hata huyo unayemdhani wewe ndiye mleta Uzi naye aliingia na Ku copy mahala, kwani hili bandiko likiwa hapa wewe linakuchefua nini?? Au umetumwa?? Sisi siyo watoto wadogo tutachuja na kuona kipi ni kipi, halafu mods hawana Roho mbaya kama ya kwako plz Ficha ujinga wako, mijitu imekaa na Roho mbaya kama bwana YULE hebu njoo unijibu mfano huu Uzi umefutwa wewe utanufaika na nini? Na ukiendelea kuwepo utapungukiwa na nini?? Mabandiko mangapi yanarudiwa humu na tunasoma na maisha yanaendelea??
 
Ukweli utabaki ulivyo, Osama alikwisha uawa na ameshatafunwa na samaki waliomfanya kitoweo!
 
Bibi huu mudaa unao Quote Hii text si ungeendelea kuvunja kokoto hapo kijiweni kwako Mlima wa masanga au kutembeza mchele hapo kwa Kidagala..
 
Mkuu mbona maelezo yako kama vile yanajikanganya?
 
Ukitaka kumuelewa zaidi huyu jamaa katafute kitabu cha THE SNOWDEN FILES uone alivyoiba na kukimbia na siri za marekani huyo ni the MOST WANTED kwa marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…