Ee Bwana Ngachoka! Mgongo unaumaaaaa!!

Ee Bwana Ngachoka! Mgongo unaumaaaaa!!

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,155
Reaction score
34,303
Mie bwana Karucee nilijifungua kwa njia ya operation a whole year ago. Najitahidi ku avoid kubeba vitu vizito and all but najikutaga mgongo unauma sana. The other day I was shocked to realize nashindwa kugeuka kitandani. Is there any natural remedy for this? Am too young to go bending like my grandmama jamaniiiiii. Kindly advice. Its painful! Kaunga, The secretary, Kongosho, snowhite, Mzizi Mkavu, King'asti,
 
Last edited by a moderator:
kwanza kabisa nikuambie kosa ulilitenda wewe pale ulipojifungua kwa cs halafu ukaacha kufanya kazi kwa madai kwamba ninamshono.................sasa hii ndio adhabu yake.

siku zote mama ukijifungua kwa cs baada ya ambulation you should start simple exercises hasa kutembembea, and doing your house works kidogo kidogo. usijisemee eti ninamshono hivyo sitakiwi kufanya kazi my dearest utakuja juta kama leo unavyojuta. sikumbuki kama nilishawah kulala kitandani kwasababu eti nimejifungua na bahati mbaya nimezaa kwa njia zote kawaida na cs, sijawah kuumwa mgongo wala kichwa licha ya kwamba nimezaa mara 4.

Hapo dawa ni kuanza mazoezi mtafute physiotherapist akuanzishie mazoezi hayo maumivu yatakwisha, sidhan kama kuna dawa unless za kutuliza maumivu tu na hizi sio tiba. lkn kama maumivu ni makali sana tafuta dawa ya kutuliza iitwayo FLAMAR-MX umeze itakupunguzia maumivu. lakin hakikisha unamwona physiotherapist
 
Hiyo cs ulichomwa sindano ya mgongo ama nusu kaputi ya kizamani?

Na ile miezi 3 ya mwanzo uliishije? Ulikuwa na mtu kwa kukusaidia au ulikuwa alone alone? Ulifanya kazi za kukunja mgongo?

Afu unapata ile kitu roho inapenda kila wakati? Au anasafiri safiri?

Haya maswali yatasaidia kujua chanzo.
 
Thanks Ma, I truly appreciate.
 
Hiyo cs ulichomwa sindano ya mgongo ama nusu kaputi ya kizamani?

Na ile miezi 3 ya mwanzo uliishije? Ulikuwa na mtu kwa kukusaidia au ulikuwa alone alone? Ulifanya kazi za kukunja mgongo?

Afu unapata ile kitu roho inapenda kila wakati? Au anasafiri safiri?

Haya maswali yatasaidia kujua chanzo.

hahahahahaahahahaha. Hapo tu ndo nilipoona.
 
wa kwanza kajifungua kwa njia ya kawaida wa pili cs watatu kawaida mtoto wa tatu anaugua degedege sasa ana miaka 6 ajitambui si kuongea si kusimama je cs ni salama?nisaidieni wakuu viongozi
 
Back
Top Bottom