kwanza kabisa nikuambie kosa ulilitenda wewe pale ulipojifungua kwa cs halafu ukaacha kufanya kazi kwa madai kwamba ninamshono.................sasa hii ndio adhabu yake.
siku zote mama ukijifungua kwa cs baada ya ambulation you should start simple exercises hasa kutembembea, and doing your house works kidogo kidogo. usijisemee eti ninamshono hivyo sitakiwi kufanya kazi my dearest utakuja juta kama leo unavyojuta. sikumbuki kama nilishawah kulala kitandani kwasababu eti nimejifungua na bahati mbaya nimezaa kwa njia zote kawaida na cs, sijawah kuumwa mgongo wala kichwa licha ya kwamba nimezaa mara 4.
Hapo dawa ni kuanza mazoezi mtafute physiotherapist akuanzishie mazoezi hayo maumivu yatakwisha, sidhan kama kuna dawa unless za kutuliza maumivu tu na hizi sio tiba. lkn kama maumivu ni makali sana tafuta dawa ya kutuliza iitwayo FLAMAR-MX umeze itakupunguzia maumivu. lakin hakikisha unamwona physiotherapist