Elections 2010 Ee Mwenyezi Mungu......!

Elections 2010 Ee Mwenyezi Mungu......!

majata

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
431
Reaction score
180
TUOMBE:
Eee Mwenyezi Mungu Dunia Hii ni mali yako hata watanzania ni mali yako turudishie haki yetu ambayo akina Mkwere wametunyang'anya na kuwakabidhi akina ROST HAM ya MAZIZI huku wengi wetu tukiwa na maisha magumu sana.
Tumechoka kukosa elimu bora,tuna makazi hovyo yaliyo jaa nzi na mbu na msogamano mkubwa, sio kwamba tunapenda hali hii ila hatuna jinsi kwani haki yetu tumenyang'anywa na na wanamtandao wa mkwere.
Umpe hekima izidiyo Dr wilbroad slaa iliatuongoze kwa upendo na amani kwa miaka 5 ijayo.

fungua akili za watanzania wenzetu ambao kwa sh 5000 wanasahau maovu yote ya EPA, Richmond, Kiwira, Mikataba feki ya madini, Mishahara duni kw watanzania, Starehe za Mkwere kwenda kunywa chai na Obama huku maisha bora wakiwa nayo akina lizi one walio jenga majumba ya bilioni2 na mijigali ya kifahari wakati shule wamemaliza miaka ya jana tu

walaani wale wote wanao itazama Chadema kwa jicho la husuda iliwajipatie vyeo na kuwasahau wananchi tena kama wavaa T-shirt za kijani wengi walivyo mioyoni mwao.

nakuomba owapofushe macho yao wote waliojiandaa kuiba kura Jumapili ya tar 31/10/2010, wasiweze kuona niwapimasanduku ya kura yapo, pia uwaongoze vema NEC wasipendelee upande wowote watoe haki kwa wagombea wa vyama yote.

Mwisho utuzidishie amani na upendo, kupitia kwa Yesu kristo naomba sara hii ikufikie.

AMEN
 
Back
Top Bottom