Eee mungu nisaidie

Eee mungu nisaidie

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
 
Hapo kwenye M ya Mungu, anza na M kubwa........ pole, chukua leso na ufute machozi.....
 
af hivi hilo jina lako halikusadifu enh???

nilidhan utasema nimesha achilia na sasa nasonga mbele kumbe bado unalalamika??

c'on lady he is not worth your energy my dear, so let him go and make up urself.
 
pole darl
everything happens for a reason

mapenzi hayanaga baunsa hasa ukipenda kiukweli

ila worry out,hili nalo litapita
 
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.

Forget a bout him they all born by one mother take your time.
 
ni sawa na kuinuka na kufuta vumbi na kuchapa mwendo....lia leo, kesho endelea na mambo yako.
 
It will take a time to forget bu Mungu anmakusudio na ww mungu akupe ujasr waku ltfutilia mbali
 
Kunywa sumuu tuu jaman kama unampenda kweli ili tupate uhakika wa mapenz yako kwake
 
pole darl
everything happens for a reason

mapenzi hayanaga baunsa hasa ukipenda kiukweli

ila worry out,hili nalo litapita

And what's that reason wangu??
 
af kumbuka hakuna kiumbe wa thamani kama wewe, na daima likukwepalo lina heri mumieee.........
wahenga walisema herim kenda nenda kuliko kumi nenda rudi kama katokomea tokomoo mwache ni heri kwako............

usijali sana wako yupo tena atakaye kijaza kinywa chako kicheko, yule atakaye tambua kwamba u nyama kutoka katika nyama zake na u mfupa kutoka mifupa yake.

mie nakumalizia kwa kusema akunyimae kunde akupunguzia mashuzi, mita ya luku achana nayo.........anza upya maisha yapo bado.
 
be strong my dear,he was not for you, there is someone somewhere for you...Luv hurts but dont spend more times thinking of him to welcome much pain.
 
pole hata mimi kama wewe ni PM tubadilishane uzoefu lady of action.
 
Onyesha ma action yako sasa kama Rambo.
 
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.

Love with a gape. Ukilalia ka ukuta, akiondoka tu nawe unaanguka kifafa. Pole zakoooo. Amka chapa malapa. He was not fit for yu. Wako nimemwacha pale K'koo ananunua nyama, atakuletea
 
Pole sana sana sana. Kama unapenda kuimba inasaidia kidogo, uimbe kwa sauti hadi upate relief. Fanya hivyo kisha malizia kwa kuvita pumzi kubwa ndani na kuitoa taratibu.
Ila chonde chonde usisikize nyimbo za slow na blues. Utaongeza majonzi
 
Hujadanganywa...its called change of heart
 
af kumbuka hakuna kiumbe wa thamani kama wewe, na daima likukwepalo lina heri mumieee.........
wahenga walisema herim kenda nenda kuliko kumi nenda rudi kama katokomea tokomoo mwache ni heri kwako............

usijali sana wako yupo tena atakaye kijaza kinywa chako kicheko, yule atakaye tambua kwamba u nyama kutoka katika nyama zake na u mfupa kutoka mifupa yake.

mie nakumalizia kwa kusema akunyimae kunde akupunguzia mashuzi, mita ya luku achana nayo.........anza upya maisha yapo bado.
Hakika umebarikiwa hekma. Chukua malike kama zilion hivi.
 
Back
Top Bottom