Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
pole darl
everything happens for a reason
mapenzi hayanaga baunsa hasa ukipenda kiukweli
ila worry out,hili nalo litapita
Eee mungu nisaidie niweze kumsahau!! Sikutegemea kama ingekua hivi nilikupenda zaidi ya sana uliniahidi kunipenda upendo ambao sijawai pendwa!!!! Tulipanga mambo mengi...... kweli malipo ya kukupenda ndo kunitenda huvi na kuniliza hivi eeeh mungu nisaidie niweze kukusahau.
Hakika umebarikiwa hekma. Chukua malike kama zilion hivi.af kumbuka hakuna kiumbe wa thamani kama wewe, na daima likukwepalo lina heri mumieee.........
wahenga walisema herim kenda nenda kuliko kumi nenda rudi kama katokomea tokomoo mwache ni heri kwako............
usijali sana wako yupo tena atakaye kijaza kinywa chako kicheko, yule atakaye tambua kwamba u nyama kutoka katika nyama zake na u mfupa kutoka mifupa yake.
mie nakumalizia kwa kusema akunyimae kunde akupunguzia mashuzi, mita ya luku achana nayo.........anza upya maisha yapo bado.