Eee mungu nisaidie

Hiki ni kibuti au kutemwa na lugha ingine ni kumiminwa....
Ivi unaanzaje kumpenda mtu mpaka wengine kufikia kujiua!!!!
pole mwaya. Bila challenge huwezi kuwa strong...
 
Mwisho wa mapenzi ndiyo mwanzo wa mapenzi.
 
Mapenzi yana nguvu kuliko Breakdown. Ukisha naswa ni kuburutwa kama gari bovu hujielewi elewi.
 
Sasa ndio nini kuja kunitangaza humu. Nilikupa muda hukujirekebisha sasa ulitaka nifanyeje? Una bahati hujanitaja jina humu.
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…